Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa spika wa bunge la kitaifa Francis Ole Kaparo aikashifu serikali kwa kukubalia vurugu

  • | Citizen TV
    14,262 views
    Duration: 1:20
    Aliyekuwa spika wa bunge la kitaifa Francis Ole Kaparo aikashifu serikali kwa kukubalia misururu ya vurugu kwenye mikutano ya kisiasa akisema mtindo huu ni tishio kubwa kwa maisha ya wakenya.