Skip to main content
Skip to main content

“Amin aliletwa kwangu kabla apewe kiti ya DCI.’”

  • | K24 Video
    1,085 views
    Duration: 1:11
    “Huyu Muhammed Amin ameletwa kwangu na Duale kabla hajapatiwa kiti ya DCI, akitaka nimtemee mate na nikubaliane na Kasongo apatiwe DCI, mimi nikamuuliza Amin, ‘Hii kazi ukipewa, utakuja kuua watu?’ Akasema, ‘Siwezi, mimi ni Muislamu.’” — HE Rigathi Gachagua