Skip to main content
Skip to main content

Amnesty International yashutumu ukiukaji wa haki Sudan

  • | Citizen TV
    276 views
    Duration: 3:08
    Shirika la Amnesty International limeshutumu vikosi vya RSF kwa kuendelea na ukiukaji wa haki za binadamu katika mzozo unaoendelea nchini Sudan. Kwenye ripoti yake ya punde kuhusu mzozo huo, Amnesty International inasema watoto wameendelea kuathirika pakubwa kutokana na uhalifu unaodaiwa kuendelezwa kusini mwa jimbo la Darfur. Shirika hilo sasa linataka mataifa kuingilia kati kusitisha vita kwa kupeleka vikosi vya kimataifa vya kulinda amani. Brenda Wanga anaarifu.