Skip to main content
Skip to main content

Asilimia 75 ya wanafunzi wa vyuo vya ufundi Mombasa hawamalizi masomo

  • | Citizen TV
    214 views
    Duration: 1:48
    Imebainika kuwa asilimia 75 ya wanafunzi wanaojiunga na taasisi za mafunzo ya ufundi katika kaunti ya Mombasa kaunti hawakamilishi masomo yao licha ya kupokea ufadhili kutoka serikalini.