Skip to main content
Skip to main content

Asilimia 76 ya Wakenya yasema nchi inaenda njia isiyofaa

  • | Citizen TV
    2,458 views
    Duration: 2:46
    Mwaka mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu, asilimia 76 ya Wakenya wanasema taifa linaelekea katika mwelekeo usiofaa, huku asilimia 15 pekee wakiamini kuwa Kenya inaelekea katika mwelekeo unaofaa. Hayo ni kwa mujibu wa utafiti wa hivi karibuni wa kampuni ya TIFA, ambao pia umeonyesha kuwa theluthi mbili ya Wakenya wanahisi hali yao ya kiuchumi imezorota ikilinganishwa na ilivyokuwa mwaka 2022.