Skip to main content
Skip to main content

Askofu Alfred Rotich amtaka rais Ruto kuingilia kati kulinda msitu wa Londiani

  • | Citizen TV
    358 views
    Duration: 1:25
    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kericho, Alfred Rotich, amemwomba Rais William Ruto kuingilia kati kwa haraka ili kukomesha uharibifu unaoendelea katika Msitu wa Londiani, hasa eneo la Samburet.