22 Jul 2026 1:08 pm | Citizen TV 431 views Duration: 1:38 Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Kenya, Jackson Ole Sapit, ameihimiza serikali kuchukua hatua dhidi ya tatizo la wahuni badala ya kutoa matamshi tu, ili kuzuia kuenea kwa mgogoro unaoendelea kushuhudiwa kote nchini.