1 Jan 2026 4:07 pm | Citizen TV 268 views Duration: 1:15 Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana nchini Kenya, Jackson Ole Sapit, ameonya kuwa hali ngumu ya kiuchumi inayowakumba wakenya wengi huenda ikakithiri na kuathiri wakenya zaidi.