- 375 viewsDuration: 1:13Askofu Mkuu wa kanisa la Kianglikana Jimbo la Kisii, John Omangi ameitaka idara ya Usalama nchini kukoma kutoa matamshi bila matendo kuhusu visa vya uhuni vinavyozidi kushuhudiwa katika mikutano ya Kisiasa. Akizungumza mjini Kisii, askofu Omangi amesikitikia matukio yaliyoshuhudiwa kule Homa Bay akisema yanaashiria hali mbaya ya usalama nchini .