5 Oct 2026 10:12 am | Citizen TV 455 views Duration: 1:05 Askofu Mkuu wa Kanisa la Good News of Africa (GNCA) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Muungano wa Makasisi wa Kenya, Raphael Nzuki Kituva, amevitaka vyama vya upinzani kumtaja mgombea wao wa urais .