Skip to main content
Skip to main content

Azimio la Umoja One Kenya yalaani wahuni wanaovuruga mikutano ya kisiasa

  • | Citizen TV
    1,021 views
    Duration: 2:57
    Viongozi wa mrengo wa Azimio la Umoja One Kenya wamekashifu ongezeko la wahuni wanaovuruga mikutano ya kisiasa kama ilivyoshuhudiwa huko homabay. wakizungumza katika kanisa la Redeemed Gospel huko Kithimani kaunti ya Machakos Jumapili, viongozi hao waliikosoa serikali kwa kushindwa kidhibiti wahuni nchini wakionya kuwa wahalifu hao wa kisiasa wanaweza kulitumbukiza taifa katika lindi la ghasia.