Skip to main content
Skip to main content

Azimio yafungua mazungumzo ya kuimarisha muungano

  • | Citizen TV
    1,822 views
    Duration: 1:29
    Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umeafikia kufanya mazungumzo na vyama vingine kuimarisha umoja wake kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Kwenye mkutano uliofanyika leo hapa Nairobi na kuongozwa na mwenyekiti wake, kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, muungano huo umesema unaendelea kuzungumza na vyama na mirengo ya upinzani, ikiwemo DCP na Linda Mwananchi, ili kujipanga pamoja kwa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.