Skip to main content
Skip to main content

Baada ya siku 43 za mgomo, wauguzi watangaza kusitisha mgomo

  • | NTV Video
    931 views
    Duration: 2:33
    Baada ya siku 43 za mgomo, wauguzi wametangaza kusitisha mgomo. Hii ni baada ya Muungano wa Wauguzi Nchini na Baraza la Magavana kufikia makubaliano ya kuendelea na mazungumzo kwa siku 45, huku masuala ya marupurupu ya hatari na sare yakikubaliwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya