28 Sep 2026 10:24 am | Citizen TV 1,373 views Duration: 1:46 Baadhi ya viongozi wa magharibi wameendeleza shutma dhidi ya aliyekuwa rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusu matamshi yake ya wizi wa kura.