30 Jun 2026 10:30 am | Citizen TV 1,101 views Duration: 1:48 Baadhi ya wabunge wa mrengo wa Kenya Kwanza kaunti ya Kisii wawarai wenyeji kuunga mkono azma ya Rais William Ruto ya kuchaguliwa tena mwakani ili kukamilisha miradi ya maendeleo iliyoanzishwa Kisii.