Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya wahuni waliiba na kuharibu biashara mitaani

  • | Citizen TV
    27,952 views
    Duration: 3:47
    Maandamano ya kulalamikia bei ya juu ya mafuta yaligeuka na kuwa jukwaa la uhalifu na uharibifu katika maeneo tofauti nchini. Kaunti za Nairobi, Nakuru, Meru, Makueni, Kajiado, Nyeri na Laikipia zilishuhudia visa vya uharibifu wa mali, wizi na kuchomwa kwa magari. Baadhi ya watu pia walivamiwa kwenye maandamano hayo.