22 Apr 2026 1:16 pm | Citizen TV 1,563 views Duration: 1:52 Baadhi ya wakazi wa Mwingi Kaskazini wanaoishi karibu na Hifadhi ya Taifa ya Mwingi Kaskazini pamoja na mpaka wa Kaunti jirani ya Tana River wanaishi kwa hofu ya kushambuliwa na wanyama pori.