Skip to main content
Skip to main content

Babu Owino: 2027 tutashikana ana kwa ana, bega kwa bega tupeleke Ruto nyumbani

  • | Citizen TV
    3,159 views
    Duration: 1:01
    Babu Owino: 2027 tutashikana ana kwa ana, bega kwa bega tupeleke Ruto nyumbani. Kabila zote zitashikana kwasababu shida ya Mluhya ndio shida ya Mkikuyu, shida ya Mkamba ndio shida ya Mjaluo pia. Shida zetu ni gharama ya maisha na corruption