Skip to main content
Skip to main content

Badhi ya wazazi wapinga uhamisho wa mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Moi

  • | Citizen TV
    3,161 views
    Duration: 1:59
    Baadhi ya wazazi kutoka shule ya msingi ya Moi. kaunti ya Nakuru wamefanya Maandamano hii leo kutoka shuleni humo hadi afisi za tume ya kuwaajiri walimu TSC, Katika kaunti hiyo kama njia moja ya kulalamikia uhamisho wa aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Carol Chebe.