Skip to main content
Skip to main content

Bahari FM yaandaa kambi ya matibabu kwa wanawake wenye maradhi ya nasuri kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    598 views
    Duration: 2:02
    Kampuni ya Royal Media Services kupitia kituo chake cha Bahari Fm wameshirikiana na mashirika mengine kuandaa kambi ya matibabu ya kinamama wanaougua maradhi ya nasuri katika hospitali ya Marafa eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi.