Skip to main content
Skip to main content

Bajeti mpya yaweka afueni kwa afya, kilimo na makazi

  • | Citizen TV
    352 views
    Duration: 1:54
    Bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2026/2027 pia umegusia baadhi ya maswala yanayohusiana moja kwa moja na gharama ya maisha ya Wakenya.... Serikali ikiweka afueni kwa wagonjwa wa figo kwa kuondoa ushuru wa mashine ya kusafisha figo, mabadiliko katika ushuru wa nguo za mitumba kuongeza ruzuku ya mbegu na mbolea kwa wakulima na kuwapa makao watu wasiokuwa na ardhi ya kuishi mbali na kutenga fedha za miradi ya miundombinu..