Skip to main content
Skip to main content

Balozi Bishar Hussein ataka kuimarishwa kwa demokrasia ya maelewano kaskazini mwa Kenya

  • | Citizen TV
    475 views
    Duration: 1:32
    Aliyekuwa Balozi wa Kenya miliki ya kiarabu na Mkurugenzi Mku wa Shirika la Posta Duniani, Balozi Bishar Abdirahman Hussein, ametoa wito wa kuimarishwa kwa mfumo wa demokrasia ya maelewano kaskazini mwa kenya.