- 1,106 viewsDuration: 1:47Baraza la magavana lasema halitatii agizo la katibu wa wizara ya afya Ouma Oluga la kuwaajiri wahudumu wa afya kwa wote likisema hana mamlaka ya kutoa amri hiyo. Akizungumza mjini Meru , mwenyekiti wa baraza hilo Ahmed Abdullahi, asema wizara ya hazina ya taifa na ile ya afya ndizo kikwazo cha ajira ya kudumu ya maafisa hao kwa kukosa kutekeleza mkataba wa makubaliano.