Skip to main content
Skip to main content

Baraza la magavana lasema litaelekea mahakamani kupinga migomo ya wauguzi nchini

  • | Citizen TV
    393 views
    Duration: 1:45
    Baraza la magavana latishia kuelekea mahakamani kupinga migomo ya wauguzi nchini Baraza la magavana latishia kuelekea mahakamani kupinga migomo ya wauguzi nchini. Kupitia mwenyekiti wa kamati ya afya katika baraza hilo Abdulswamad Sharrif Nassir , magavana wakashifu hatua ya wauguzi kukataa kufanya mazungumzo hatua wasemayo ni kuhujumu huduma za matibabu