Skip to main content
Skip to main content

Baraza la makanisa NCCK lakosoa mpango wa fidia kwa waathiriwa wa maandamano

  • | Citizen TV
    473 views
    Duration: 2:46
    Baraza la Kitaifa la Makanisa nchini NCCK lakosoa mpango wa kuwafidia waathiriwa wa maandamano, likisema ni njia ya serikali kukwepa uwajibikaji. NCCK yawataka maafisa wa usalama waliohusika katika utekaji nyara, mateso na mauaji ya waandamanaji watambuliwe na kushtakiwa kabla ya fidia kutolewa.