Skip to main content
Skip to main content

Baraza la wazee Kajiado lawakemea wanasiasa wachochezi

  • | Citizen TV
    651 views
    Duration: 3:50
    Baraza la wazee wa jamii ya Maa kutoka Kaunti ya Kajiado limekemea vikali siasa za mgawanyiko, uchochezi na uhuni zinazodaiwa kuendelezwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa, na kuwataka wananchi kujiepusha na siasa hizo. Robert Masai na maelezo zaidi.