Skip to main content
Skip to main content

Baraza la wazee Taita Taveta launga mkono ujenzi wa uawa umeme katika mbuga ya Tsavo

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 1:22
    Baraza la wazee kaunti ya Taita Taveta lasema kuwa litashirikiana na shirika la kulinda na kuhifadhi wanyamapori nchini KWS katika kuhakikisha wakazi kaunti hiyo wanufaika na suala la ajira. Baraza hilo pia lasema linaunga mkono mradi kuwekwa kwa ua wa umeme katika hifadhi maalum ya vifaru ndani ya mbuga ya Tsavo.