Skip to main content
Skip to main content

Baraza la wazee wa Agikuyu latangaza kurejea kwa tohara ya kitamaduni

  • | KTN News
    553 views
    Duration: 2:01
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Baraza la wazee wa jamii ya Agikuyu limetangaza kurejea kwa tamaduni ya kila mwaka ya kupasha tohara wavulana, baada ya kucheleweshwa kwa mmoja mmoja kutokana na mtalaa wa CBE ambao umefanya wanafunzi wa Gredi ya Nane kusalia katika shule za msingi kwa mmoja kwa ajili ya Gredi ya Tisa kinyume na ilivyokuwa chini ya mtalaa wa 8.4.4. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews