25 Sep 2026 1:59 pm | Citizen TV 1,253 views Duration: 2:09 Baraza la wazee wa jamii ya Abaluhya kaunti ya Uasin Gishu, limeanzisha kampeni inayowalenga vijana waliohitimu umri wa miaka kumi na nane kujisajili kuwa wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.