Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    2,018 views
    Duration: 1:17
    Bonde la Chebloch nchini Kenya ni bonde lililo na kina cha mita 70 linawavutia watu wanaofika sio tu kuona kina hicho cha maji bali pia kufurahia maonyesho ya vijana kupiga makasia ama kuruka ndani ya maji hayo. Mmoja wao ni Ambrose Cherutich aliye na uwezo wa kuruka kwenye shimo hilo akiwa na mguu mmoja. Ambrose amefanya kazi ya kuruka makachu kwa zaidi ya miaka 14. Miaka michache iliyopita alipata ajali na kukatika mguu lakini hilo halikumzuia kuendelea kufanya kazi hiyo kama alivyomsimulia @Agnes Penda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw