- 188 viewsDuration: 1:36Muungano ya wafanyabiashara wanaopakia na kuuza maji safi ya kunywa katika kaunti ya Turkana ,wameongeza bei ya maji kwa sababu ya ongezeko la bei ya mafuta nchini. Wakiongea katika ofisi za biashara na viwanda KNCCI mjini Lodwar,wafanyabiashara hao wanadai kuwa wameshindwa hata kuwalipa wafanyakazi wao mishahara pamoja na gharama zingine za biashara.