- 8,710 viewsDuration: 2:43Shughuli za usafiri na biashara ziliathirika pakubwa jijini nairobi na maeneo ya karibu kufuatia mgomo wa sekta ya usafiri uliosababishwa na ongezeko la bei ya mafuta. Shughuli za usafiri zikikwama, biashara zikisalia kufungwa, masomo yakiathirika shuleni huku wanafunzi wachache wakifika darasani. Mgomo huo ulitangazwa na wadau wa sekta ya usafiri. Brenda