Skip to main content
Skip to main content

Biashara za wageni Nairobi zakwama kwa hofu ya mashambulizi

  • | Citizen TV
    10,744 views
    Duration: 2:57
    Biashara ndogo na za wastani katika maeneo mbalimbali ya Nairobi zimeathirika, huku baadhi ya wafanyabiashara na wafanyakazi wa kigeni wakihofia kurejea kazini kwa hofu ya kuvamiwa na kuharibiwa kwa mali zao. Maduka na vibanda vingi vimesalia kufungwa mitaani, huku baadhi ya tuk-tuk na magari madogo yakikosa madereva. Kamau Mwangi anaeleza kuwa wafanyabiashara wa kigeni wanaiomba serikali kuingilia kati na kuwahakikishia usalama wao.