Skip to main content
Skip to main content

Bima maalum ya Afya itakayosimamia jumla ya maafisa 138,000 wa idara ya Polisi imezinduliwa

  • | Citizen TV
    838 views
    Duration: 2:26
    Bima maalum ya Afya itakayosimamia jumla ya maafisa 138,000 wa idara ya Polisi imezinduliwa. Hafla hiyo ilihudhuriwa na mawaziri wa Afya na Usalama, Aden Duale na Kipchumba Murkomen ambao wamesisitiza umuhimu wa kutekeleza marekebisho kwenye idara ya Usalama.