27 Aug 2026 1:51 pm | Citizen TV 940 views Duration: 1:42 Bodi ya matibabu ya Mifugo KVB imetoa onyo kwa madaktari bandia wa mifugo baada ya kufanya ziara za ghafla katika maduka ili kukagua uzingatiaji wa kanuni.