Skip to main content
Skip to main content

Bodi ya utalii yasema watalii hawapaswi kuwa na hofu kuzuru Kenya

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 1:48
    Rais wa baraza la dunia la usafiri na utalii (WTTC), Gloria Guevara, ambaye aongoza mkutano wa washikadau wa sekta ya utalii nchini, asema kuwa hakuna haja ya kuwa na hofu kuhusu mlipuko wa Ebola, akisisitiza kuwa dunia imewahi kukabiliana na majanga makubwa zaidi hapo awali na kwamba hali hiyo haipaswi kuwatia hofu watalii wapangao kuzuru Kenya.