18 Jun 2026 10:24 am | Citizen TV 287 views Duration: 1:27 Serikali ya Kaunti ya Machakos yatangaza kuwa yaendelea kuwatoza wamiliki wa ardhi na mali kwa kutumia sheria iliyopo ya matozo, licha ya bunge la kaunti kupitisha mswada wa kusitisha matozo hayo.