- 284 viewsDuration: 1:36Sylvesters Kaane wa wizara ya michezo na vijana, Philip Gavuna wa wizara ya huduma kwa umma na Rodgers Etale Tunya wa wizara ya uchukuzi na miundo msingi wachunguzwa dhidi ya ufisadi . Miswada mitatu ya kuwatimua watatu hao iliwasilishwa kwenye kikao cha bunge hilo hiyo jana na inalenga kuanzisha uchunguzi na kutoa ripoti chini ya muda wa siku ishirini na moja kubaini iwapo watabanduliwa ofisini au la.