Skip to main content
Skip to main content

Bunge la Machakos lakabiliwa na hatari ya kufungwa kutokana na ukosefu wa fedha

  • | Citizen TV
    4,560 views
    Duration: 2:09
    Bunge la Kaunti ya Machakos linakaribia kufungwa baada ya wawakilishi wadi kutoa tahadhari kuhusu kushindwa kwa serikali kutoa fedha za kuendesha shughuli tangu Aprili 2026.