Skip to main content
Skip to main content

Bunge lapigia kura mswada wa fedha 2026, ushuru wa simu waondolewa

  • | Citizen TV
    2,743 views
    Duration: 2:58
    Wabunge wa Bunge la Kitaifa kwa sasa wanapigia kura mswada wa fedha wa mwaka 2026, mswada huo ukitarajiwa kupitishwa usiku wa leo. Kulikuwa na mjadala mkali bungeni hapo awali baina ya wabunge wanaounga mkono serikali na wale wa upinzani kuhusu vipengele tata vya mswada huo vilivyozua ubishi. Na kama anavyoarifu Emmanuel Too, kipengele cha kuongeza ushuru wa simu kimeondolewa.