- 3,738 viewsDuration: 3:04Bunge la kitaifa limeidhinisha mswada wa dharura wa kupunguza ushuru wa mafuta kutoka asilimia 16 hadi asilimia 8, siku moja tu baada ya rais william ruto kutangaza mabadiliko hayo ili kuzuia athari zaidi ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Kwa sasa lita moja ya petroli na dizeli inauzwa kwa shilingi 197 na 196 mtawalia. Baadhi ya wabunge wameitaka serikali kuweka mikakati zaidi ya kuwakinga wakenya kutokana na makali ya ongezeko hilo.