Skip to main content
Skip to main content

Bunge lazua maswali kuhusu matumizi ya shilingi milioni nane kila siku kwa ofisi ya Naibu Rais

  • | Citizen TV
    4,928 views
    Duration: 3:07
    Maswali yameibuka kwenye Kamati ya Uhasibu bungeni kuhusu matumizi ya shilingi milioni nane kila siku kumsafirisha Naibu Rais katika kaunti za Tharaka Nithi, Laikipia, Isiolo na Kitui. Wabunge wakitaka maelezo ya faida za safari hizo kwa umma.