Skip to main content
Skip to main content

Busia: Hofu yatanda miongoni mwa wafanyabiashara baada ya wahuni kuvamia Soko la Posta

  • | NTV Video
    1,183 views
    Duration: 2:43
    Hofu imetanda miongoni mwa wafanyabiashara katika Soko la Posta mjini Busia baada ya wahuni waliokuwa wamejihami na rungu kuwavamia jioni ya Jumatano kisha kuwapiga watu kadhaa huku wafanyabiashara hao wakiilaumu idara ya usalama kwa kufumbia macho swala hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya