Skip to main content
Skip to main content

Busia: Mkongwe mwenye umri wa miaka 90 afanya biashara ya kutengeneza miengo, ukipenda fly whisks

  • | NTV Video
    3,430 views
    Duration: 4:10
    Mkongwe mwenye umri wa miaka 90 katika soko la Posta mjini Busia anazidi kuwashangaza wengi kwa kukaidi hali ya umri wake na kuendelea kufanya biashara ya kutengeneza miengo, ukipenda fly whisks, kwa kipindi cha miaka 74 sasa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya