Huku siasa za uhuni zikizidi kugonga vichwa vya habari kote nchini, baadhi ya wakazi wa Kaunti ya Busia wamependekeza kuwa ni vyema serikali na washikadau husika kubuni nafasi za ajira kwa vijana, mbali na kuwapa hamasa.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya