6 Jul 2026 1:23 pm | Citizen TV 309 views Duration: 2:45 Ni afueni kwa wanafunzi wa shule ya upili ya kitaifa ya wasichana ya Kisima samburu magharibi, baada ya uzinduzi wa bweni jipya. Wadau wa elimu wakisema kuwa ukosefu wa miundombinu bora shuleni hutatiza elimu ya wafugaji