Skip to main content
Skip to main content

Canada yaonya raia wake kuhusu Ebola Kenya

  • | Citizen TV
    1,824 views
    Duration: 3:00
    Shirika la Afya Duniani linasema huenda mgonjwa wa kwanza wa Ebola nchini Kenya uliambukizwa akitafuta matibabu ya ugonjw amwingine DRC. Haya ni huku Canada ikitoa tahadhari za usafiri kwa raia wake wanaoelekea Kenya kufuatia kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha Ebola nchini. Katika taarifa yake, serikali ya Canada imewataka raia wake wanaosafiri humu kuchukua tahadhari zaidi na kufuatilia dalili zinazoweza kuashiria maambukizi ya Ebola kwa siku 21 baada ya kuondoka Kenya.