Skip to main content
Skip to main content

CECAFA na FKF wagongana kuhusu uamuzi wa mechi iliyotibuka ya Kenya vs Sudan

  • | Citizen TV
    842 views
    Duration: 32s
    Kamati kuu ya Shirikisho la Kandanda la Afrika Mashariki CECAFA imetoa uamuzi wa mechi iliyotibuka kati ya Kenya na Sudan kwenye michuano ya Kombe la CECAFA kwa chipukizi. Hata hivyo, uamuzi huo umepingwa vikali na Shirikisho la Kandanda nchini Football Kenya Federation.