3 Sep 2026 1:22 pm | Citizen TV 1,564 views Duration: 1:13 Chama cha DCP kikiongozwa na seneta wa Nyandarua chasema kuwa kampuni ya Tata inanyemewa na kuwa kuna njama ya kutwaa umiliki wakeWamesema kuwa kufungwa kwake kunaathiri wakaazi wa magadi.