- 1,129 viewsDuration: 2:15Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) kimeshutumu usimamizi ya Chuo Kikuu cha Moi baada ya kudaiwa kuwaita wahadhiri "vimelea." Chama hicho kimesema kauli hiyo ni ya kudhalilisha na inawavunja moyo wafanyakazi. Mgogoro huo unaongeza changamoto zinazoikumba chuo hicho, yakiwemo matatizo ya kifedha na kucheleweshwa kwa mishahara .